AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |
Back to Blog
Kitabu cha nyimbo za wokovu pdf12/28/2023 Kimsingi nitajikita kwenye mkate, ambao tunautumia kwenye meza ya Bwana, kwa sababu ninaamini kwamba unawakilisha Bwana wetu kufanyika mwili. Naomba niseme tu kwamba hizi alama ni za muhimu sana na zina maana kubwa, kama tu tukizielewa. Kwa upande mwingine tunaamini kuwa mkate na mvinyo ni alama tu. Najaribu kuwaza kwamba kama sivyo, hivi ni vitu tu vya kawaida vya kutumia. Wanaamini kwamba kwa njia fulani ya kimiujiza kwamba mkate na mvinyo hubadilika na kuwa mwili na damu ya Bwana wetu. Kuna baadhi ya watu wanaoamini kwamba vifaa – yaani mkate na mvinyo (au divai) – tunavyovitumia wakati wa meza ya Bwana, ni zaidi ya vitu tu. Nadhani nitakuelezea jinsi yanavyohusiana katika mafundisho haya. Unaweza ukashangaa kwamba simulizi hii inahusianaje na meza ya Bwana, au kurudi kwa Bwana wetu, ambako huwa tunakusherehekea wakati wa Krismasi. Kwa bahati, baba alimwelewa na haraka alimwambia, “Hivi unaweza ukamsaidia mtoto akiwa chuoni?” Alishangaa sana na baba naye alimtambua vizuri – alikuwa ni mke wa mjumbe wa bodi ya ile shule. Mwanamke mmoja alikuja kununua barafu na alipokaribia kile kigari, alimtambua baba yangu. Kwa kweli huu ni unyenyekevu wa pekee kuendesha kile kigari cha barafu na kuzunguka nacho huko mjini, akiwauzia watoto barafu huku akiwafukuza mbwa waliokuwa wakimfuata. Sasa uelewe kwamba baba yangu alikuwa ni Mkurugenzi wa shule ya msingi na pia ni mwalimu. Kwa kuwa baba yangu hakuwa na ufundi katika magari, alinisaidia kwenda kuuza barafu. Tatizo lililojitokeza ni kwamba ratiba yangu kule kwenye karakana iligongana na ile kule kwenye kampuni ya maziwa. Nilikuwa nimekaa mbele na milango miwili imefunguliwa, watoto walinifuata kwa hamu na wakati mwingine mbwa wa jirani ambao hawakuwa rafiki sana. ![]() Niliendesha kigari kilichofungiwa jokofu kwa nyuma. ![]() Kwa kweli niliuza barafu zilizoganda za maziwa, zenye vijiti na zilizo na chokoleti. Moja ilikuwa ni kufanya kazi katika karakana ya magari, na nyingine ilikuwa ni kuuza barafu kutoka kampuni ya Maziwa, mkabala tu na pale kwenye kazi ya kwanza. Nilipokuwa nasoma chuoni, nilikuwa na kazi mbili ambazo nilikuwa nazifanya ili kujipatia kipato.
0 Comments
Read More
Leave a Reply. |